Given Edward
Published on : April 20, 2024
Given Edward ni moja ya wabunifu mahiri Tanzania na Africa. Akitambuliwa na jarida ya Quartz kama moja ya wabunifu 30 bora zaidi Africa, Given pia alipewa tuzo na hayati malkia wa Uingereza Queen Elizabeth II kutokana na umahiri wake kwenye ulimwengu wa ubunifu wa kidigitali.
Karibu kujifunza kuhusu namna technology na ubunifu unaweza kuboresha unachofanya.